Miradi na programu zingine
- Mtoto Mchoraji
- Sep 14, 2020
- 1 min read
Updated: Mar 17, 2022
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kutokana na mlipuko wa janga la korona, sasa tunapenda kuwataarifu kwamba mafunzo na zetu programu zingine yameshaanza na zinaendelea kama kawaida.
Karibuni sana.
Tutaendelea kukujuza kila wakati, ili uweze kujua zaidi na zaidi.
Comments