top of page

Taarifa za Mchango

Updated: Oct 12, 2020

Tunapenda kumshukuru kila mmoja ambaye ameshirikisha na kutoa mchango kufadhili kampeni yetu. Tunakushukuru sana kwa msaada ambao umetoa, tumeweza kusaidia watoto wetu, vijana na familia kwa kutoa kiasi cha chakula, vitakasa mikono na barakoa. Kufikia sasa tunafikiria kutoa vifaa vya kujifunzia kwa wanafunzi wetu.



Pia tunakuomba kwa mara nyingine tena kushirikisha kiunga chetu pia kuongea na familia, wenzako na marafiki ili waweze kutusaidia.


Asante Sana(Much Thanks).

Comments


EXPLORE|EDUCATE|EMPOWER|DEVELOP|CHANGE

© 2020 Mtoto Mchoraji Organization.

bottom of page