top of page

Changia

Watoto, Vijana, na familia ndani ya Bagamoyo hazina fursa sawa na wengine katika nchi zilizoendelea, kwa pamoja tunaweza kusaidia kuwapa watoto hawa na vijana nafasi ya kuongeza maarifa pia kukuza uwezo wao wa kisanii na talanta zingine.

 

Hata kiasi kidogo kinaweza kuleta mabadiliko makubwa, kujenga kujiamini, na furaha kubwa katika familia na maisha ya wengi.

Nini mchango wako unaweza kufanya:

  • Dola 10 - Usafiri wa watoto wa nyumbani na Shule

 

  • Dola 25 - Sare ya shule

 

  • Dola 50 - Vitabu vya shule na vifaa vya kujifunzia

 

  • Dola 100 - Uwezo wa Matibabu wa MM

 

  • Dola 150 - Ufadhili wa mtoto wa MM wa shule ya msingi

 

  • Dola 250 - Ufadhili wa mtoto wa MM wa Sekondari 

 

  • Dola 350 - Chakula cha watoto wa MM kwa mwezi mmoja (wanafunzi 30)

 

  • Dola 500 - udhamini wa burudani na michezo, na sherehe ya pamoja kila mwaka 

 

  • Dola 650 - Ufadhili wa vijana masomo ya Chuo/Ufundi na Programu  zingine

 

  • Dola 1000 - Udhamini wa jukwaa la Ushindani wa Utamaduni na Sanaa  mashuleni

  • Dola 2000 - Wadhamini wa walimu wa MM

 

  • Dola 2500 - Vifaa vya mafunzo, mipango na huduma

 

  • Dola 15,000 - Ujenzi na ukarabati wa jengo la kituo jumuiya Mtoto Mchoraji 

 Tushirikiane baraka

Hakuna Anayefanya Vitu Vikubwa Mwenyewe.

Ndio maana Tunataka Msaada wako.

Mfadhili Mtoto

 

Mchango wako wa dola 150 utafikia mahitaji ya shule ya kila mwaka ya mjumbe wa MM pamoja na gharama ya vitabu, karatasi, majaribio ya kila wiki, na ada ya mitihani, begi la shule, kalamu, penseli, Ufutio, Kichongeo, Rula, Mkebe, na sare ya shule.


Dola 25 ya ziada itasaidia kutosheleza mahitaji ya kimsingi ya matibabu ya mtoto.

CHUNGUZA|ELIMISHA|INUA|ENDELEZA|BADILI

2020 Inamilikiwa na Shirika la Mtoto Mchoraji.

bottom of page