top of page

Dhamira yetu

  • Kuhakikisha vijana na watoto katika jamii zinazotuzunguka wanapata nafasi ya kutumia vipaji vyao na nafasi walizonazo kufikia malengo.

 

  • Kuunda jamii ambazo zina jukumu la kukuza vipaji vya watoto na vijana.

 

  • Kuwaonesha jinsi wanavyoweza kutumia ujuzi wao kuishi maisha mazuri na ya uhadirifu katika siku zijazo, kujinufaisha wao wenyewe na jamii inayowazunguka.

CHUNGUZA|ELIMISHA|INUA|ENDELEZA|BADILI

2020 Inamilikiwa na Shirika la Mtoto Mchoraji.

bottom of page